Connect with us

VIDEO | Goodluck Gozbert – Nyakati

VIDEO | Goodluck Gozbert - Nyakati

Audio

VIDEO | Goodluck Gozbert – Nyakati

VIDEO | Goodluck Gozbert - Nyakati

Habari Njema kutoka kwa Goodluck Gozbert ambaye leo ameachia video mpya ya wimbo wake unaitwa Nyakati.

“Nyakati ni wimbo uliojaa ujumbe wa kumpa mtu matumaini mapya hasa kwa yule aliyekata tamaa kwa yale magumu anayopitia, Nyakati ni wimbo wa kuhuisha vilivyokufa, kurudisha vilivyopotea ndani ya nafsi ya mtu ambaye alikuwa akitarajia mambo mema katika maisha yake.” – Goodluck Gozbert

Karibu kutazama video ya wimbo huu na ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Goodluck Gozbert kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 212 720 au +255 654 276 560
Facebook: Goodluck Gozbert
Instagram: @goodluckgozbert
Youtube: Goodluck Gozbert

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top