Connect with us

VIDEO | Essence of Worship – Ninapenda Nikuabudu

Video

VIDEO | Essence of Worship – Ninapenda Nikuabudu

VIDEO | Essence of Worship - Ninapenda Nikuabudu

Kutoka kwenye albamu BWANA UNATAWALA kwa mara nyingine tena kundi la kusifu na kuabudu Essence of Worship wametusogezea video mpya ya wimbo wa kuabudu unaoitwa Ninapenda Nikuabudu.

“It’s a song inspired to help us get close to God with our worship. It’s very possible to worship without proper knowledge of what we worship.The song reminds us to have a deep desire to know God so that we can worship Him effectively. May God draw us near to Him as we humble before Him through this song.” – Essence of Worship

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Eimen!

Kwa mawasiliano zaidi na kundi la Essence of Worship wasiliana nao kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 768 491 598 Facebook: Essence of Worship
Instagram: @essenceofworshipministries
Youtube: Essence Of Worship Ministries E.O.W

2 Comments

2 Comments

  1. Stefano

    January 17, 2020 at 2:30 pm

    Helllow I want to be a greatest gospel singer but I don’t know where I can start!!!! Yo your help please

  2. Lads

    January 17, 2020 at 3:21 pm

    Please check us through whatsapp number +255710652005 You are warmly Welcome!

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,773 other subscribers

To Top