Connect with us

VIDEO | Elkana Mbuya – Mama Mjane

VIDEO | Elkana Mbuya - Mama Mjane

Audio

VIDEO | Elkana Mbuya – Mama Mjane

VIDEO | Elkana Mbuya - Mama Mjane

Kwa mara nyingine kutoka kwa mwimbaji Elkana Mbuya tumeisogeza kwako video ya wimbo unaoitwa MAMA MJANE.

Tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu uliobeba ujumbe utakaokuinua wewe unayepitia jaribu wakati huu, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Elkana Mbuya wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 835 824
Facebook: Elkana Mbuya
Instagram: @elkanambuya
Youtube: Elkana Mbuya

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top