Connect with us

VIDEO | Eliah Ruvugo – NATAMANI KUWA NAWE

VIDEO | Eliah Ruvugo - NATAMANI KUWA NAWE

Audio

VIDEO | Eliah Ruvugo – NATAMANI KUWA NAWE

VIDEO | Eliah Ruvugo - NATAMANI KUWA NAWE

Habari Njema kutoka jijini Dar es salaam Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili Eliah Ruvugo na hii ni video mpya ya wimbo wake unaoitwa NATAMANI KUWA NAWE.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa kwa namna ya pekee, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Eliah Ruvugo wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 622 607 600
Facebook: Eliah Ruvugo
Instagram: @eliahruvugo
Youtube: Eliah Ruvugo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top