Connect with us

AUDIO | Wastahili Sifa za Moyo – Darda Umangi

Wastahili Sifa za Moyo - Darda Umangi

Audio

AUDIO | Wastahili Sifa za Moyo – Darda Umangi

Wastahili Sifa za Moyo - Darda Umangi

Kwa mara ya kwanza kutoka Tanzania leo tumekusogezea habari njema kutoka kwa Darda Umangi kupitia wimbo wake mpya unaoitwa Wastahili Sifa za Moyo.

“Huu ni wimbo wa worship ukielezea kwanini Bwana wetu Yesu kristo anahitaji sifa za mioyo yetu kila kukicha. Tafadhali subscribe & share ili kukuza injili na kupata nyimbo kwa haraka kabla ya matangazo kutoka. Mungu wa Mbinguni awe nawe.” – Darda Umangi

Karibu kusikiliza wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Darda Umangi wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 745 383 127
Instagram: @dardaumangi_christ seeker
Youtube: Darda Umangi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top