Connect with us

AUDIO | Sia Donald – Happy New Year

Audio

AUDIO | Sia Donald – Happy New Year

AUDIO | Sia Donald - Happy New Year

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtumbulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili Sia Donald na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Happy New Year.

“Ni mengi tunayokutana nayo mwaka mzima, tunapomaliza mwaka salama ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa kila jambo na pia kukiri baraka tulizoahidiwa na Mungu kuwa ni zetu, Tunapoanza mwaka tuwe wa kwanza kujitabiria Happiness na mambo yote mema, tutoke kwenye fikra za kukata tamaa na tuanze na Bwana. Kushinda na si kushindwa katika jina la Yesu.” – Sia Donald

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Sia Donald wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 743 739 489
Facebook: Sia meena
Instagram: @siameena8
Youtube: SIA Donald

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,013 other subscribers

To Top