Connect with us

AUDIO | Rungu la Yesu – Raha Yangu ft. Neema Chavala

Audio

AUDIO | Rungu la Yesu – Raha Yangu ft. Neema Chavala

AUDIO | Rungu la Yesu - Raha Yangu ft. Neema Chavala

Mkali wa miondoko ya kufokafoka al maarufu Rungu la Yesu kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 ameachia bonge la wimbo mpya unaoitwa RAHA YANGU akiwa amemshirikisha mwanadada Neema Chavala.

“Hakuna sehemu itakayokupa raha yakweli isipokuwa kwenye Habari njema yani Neno la Kristo YESU..” – Rungu la Yesu

Karibu kusikikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Eimen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na Rungu la Yesu wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 348 032
Facebook: Rungu la Yesu
Instagram: @rungulayesu
Youtube: Rungu La YESU

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,806 other subscribers

To Top