Connect with us

AUDIO | Richie Kisukuli – SIJUI

AUDIO | Richie Kisukuli - SIJUI

Audio

AUDIO | Richie Kisukuli – SIJUI

AUDIO | Richie Kisukuli - SIJUI

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa NENA BWANA kutoka kwa Richie Kisukuli akiwa amemshirikisha mwanadada Odesia Shusho.

“Ninachokijua ni kwamba ..aondoae dhambi za ulimwengu ni Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai. Aliekubali kufa na kubeba aibu, fedhea, maumivu na mengineyo yasiyo stahili ili kuniokoa Mimi. Na kila amwaminie hatopotea Bali ataurithi uzima wa Milele. Na yeye ndiye njia ya kweli na uzima. Mtu haendi kwa Mungu /BABA pasipo Yesu Kristo. ASANTE YESU KWA KUNIOKOA.” – Richie Kisukuli

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri, Barikiwa!

Kwa mawasiliano zaidi:
Simu/WhatsApp: +255 746 468 922
Instagram: @richiekisukuli
Youtube: Richie Kisukuli

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top