Connect with us

Gospomedia

AUDIO | Naomi Ibrahimu – YESU UTUKUZWE ft. KUN

Music

AUDIO | Naomi Ibrahimu – YESU UTUKUZWE ft. KUN

AUDIO | Naomi Ibrahimu - YESU UTUKUZWE ft. KUN

Habari Njema kutoka jijini Mwanza Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwanadada Naomi Ibrahimu kupitia wimbo wake mpya unaoitwa YESU UTUKUZWE akiwa amemshirikisha KUN.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Naomi ibrahimu wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 672 095 892
Facebook: Naomi ibrahimu
Instagram: @naomiibrahimu2258
Youtube: Naomy Ibrahim

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,534 other subscribers

To Top