Connect with us

AUDIO | Lisa Msoffe – Thamani Yangu

AUDIO | Lisa Msoffe - Thamani Yangu

Audio

AUDIO | Lisa Msoffe – Thamani Yangu

AUDIO | Lisa Msoffe - Thamani Yangu

Habari Njema kutoka jijini Dar es salaam Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwanadada Lisa Msoffe na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Thamani Yangu.

Karibu kusikiliza wimbo huu na amini usiamini utabarikiwa kwa namna ya pekee, Eimen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na Lisa Msoffe wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 414 528 au +255 673 052 421
Instagram: @lisa.msofe

1 Comment

1 Comment

  1. James

    January 10, 2020 at 1:54 pm

    nyimbo iko vzur sana dada

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top