Connect with us

AUDIO | Goodie Mgeta – Amefanya

AUDIO | Goodie Mgeta - Amefanya

Audio

AUDIO | Goodie Mgeta – Amefanya

AUDIO | Goodie Mgeta - Amefanya

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili Goodie Mgeta na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Amefanya.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa kwa namna ya pekee, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Goodie Mgeta wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 652 879 773
Facebook: Goodie Mgeta
Instagram: @goodiemgeta
Youtube: Goodie Mgeta

1 Comment

1 Comment

  1. isaka

    January 13, 2020 at 10:50 am

    mungu awe nawe uwe mkuu sana uwe viwango vya juu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top