Connect with us

AUDIO | Emmanuel Francis – Kama sio Mungu

AUDIO | Emmanuel Francis - Kama sio Mungu

Audio

AUDIO | Emmanuel Francis – Kama sio Mungu

AUDIO | Emmanuel Francis - Kama sio Mungu

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Francis.

“Nakukaribisha kutazama wimbo wangu mpya #kamasioMungu ni wimbo ambao unatukumbusha kumshukuru Mungu na kukumbuka makuu anayotusaidia na kututoa mikononi mwa ibilisi, ubarikiwe sana unaposikiliza wimbo huu. Amina.” – Emmanuel Francis

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Emmanuel Francis wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 758 675 272, +255 622 692 639
Facebook: Immar Cesc Jr
Instagram: @emmanuel.francis.1884
Youtube: Immar Jr

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top