Connect with us

VIDEO | Upendo Nkone – Simama Tena

Video

VIDEO | Upendo Nkone – Simama Tena

VIDEO | Upendo Nkone - Simama Tena

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunaitambulisha kwako video mpya ya wimbo unaoitwa Simama Tena kutoka kwa mwimbaji mkongwe Upendo Nkone.

“No matter what you’re going through God will make a new way and you will stand up again. Gob bless you.” – Upendo Nkone

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kipekee, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Upendo Nkone wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 754 339 302
Facebook: Upendo Nkone
Instagram: @upendonkone
YouTube: UpendoNkone

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,514 other subscribers

To Top