Connect with us

VIDEO | TUSOME BIBLIA – Daudi Mwanisenga

Video

VIDEO | TUSOME BIBLIA – Daudi Mwanisenga

VIDEO | TUSOME BIBLIA - Daudi Mwanisenga

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa TUSOME BIBLIA kutoka kwa Daudi Mwanisenga.

“Mungu ametupa uwezo kubadili vitu Vingne Viwe kwaajili ya Utukufu wake WAPENDWA CHONDE TUSOME BIBLIA Ili tuuelewe uwepo wa Mungu kwa ukubwa.” – Daudi Mwanisenga

Karibu kutazama video ya wimbo huu, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Daudi Mwanisenga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 708 681
Facebook: Daudi Mwanisenga
Instagram: @daudimwanisenga
Youtube: Daudi Mwanisenga

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,698 other subscribers

To Top