Connect with us

VIDEO | Sammy Rodin – Umetenda Mema ft. Pamsam

Video

VIDEO | Sammy Rodin – Umetenda Mema ft. Pamsam

VIDEO | Sammy Rodin - Umetenda Mema ft. Pamsam

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo wa sifa na shukrani unaoitwa Umetenda Mema kutoka kwa Pastor Sam (Sammy Rodin) akiwa na mke wake Pamsam pamoja na kundi la kusifu na kuabudu The NextlevelTz.

You Have done so good to us, Oh Lord
Thats why we Praise Your Name
You Have done so good to us, Oh Lord
That´s why we Praise Your Name

We Praise Your Name
Praise Your Name, That´s why we Praise Your Name

None compares to You, That´s why we Praise Your Name

Neither above nor below, Neither left nor right
That´s why we Praise Your Name

Umetenda Mema ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye albamu iitwayo We Have Come To Praise You iliyozinduliwa miezi michache iliyopita na sasa ikipatikana kwenye maktaba zote za mitandaoni (online digital stores).

Karibu kutazama video ya wimbo huu na ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Pastor Sam kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 777 715
Facebook: Pamsam
Instagram: @pamsam_official
Youtube: Pamsam

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,698 other subscribers

To Top