Connect with us

VIDEO | Saimon Vedastus – Tuijenge Tanzania

VIDEO | Saimon Vedastus - Tuijenge Tanzania

Audio

VIDEO | Saimon Vedastus – Tuijenge Tanzania

VIDEO | Saimon Vedastus - Tuijenge Tanzania

Kwa mara nyingine kutoka jijini Dar es salaam tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Tuijenge Tanzania kutoka kwa Saimon Vedastus.

“Wimbo maalum kwa watanzania wote wenye nia njema na ya dhati wenye kuipenda na kuilinda nchi yao Tanzania kwa pamoja tunaweza tushikamane tuilinde na kuitunza nchi yetu , Asante kwa watanzania wote viongozi wa dini na viongozi wa serikali na watanzania wote bila kujali itikadi za dini siasa, kabila tuijenge Tanzania kwa pamoja tunaweza kuidumisha amani yetu Mungu wangu asante kwa amani yetu ya Tanzania Mungu bariki Tanzania Mungu bariki Afrika asante sana serikali ya Tanzania asante sana mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Asante Mungu kwa Tanzania yetu kuipa amani na kudumisha upendo na umoja wetu ” – Saimon Vedastus alisema

Karibu kutazama video hii  njema, Barikiwa Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Saimon Vedastus kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 620 182 605
Facebook: Saimon Vedastus
Instagram: @official_saimonvedastus | Twitter: @official_saimonvedastus
Youtube: Saimon Vedastus

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top