Connect with us

VIDEO | Peaceking David ft. Miriam Lukindo Mauki – IHEOMA

VIDEO | Peaceking David ft. Miriam Lukindo Mauki - IHEOMA

Music

VIDEO | Peaceking David ft. Miriam Lukindo Mauki – IHEOMA

VIDEO | Peaceking David ft. Miriam Lukindo Mauki - IHEOMA

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa sifa na ibada unaoitwa IHEOMA kutoka kwa Peaceking David akiwa ameshirikiana na Miriam Lukindo Mauki.

“IHEOMA” is a Thanksgiving song, celebrating the faithfulness and the manifold blessings of God.
Encounters with Him brings us into higher levels of breakthroughs that money cannot buy. The only constant we owe Him is our praise and Thanksgiving.” – Peaceking David

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Peaceking David kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 785 501 594
Facebook: Peaceking David
Instagram: @peacekingofficial
Youtube: Peaceking David

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top