Connect with us

VIDEO | John Bera – Nawe

VIDEO | John Bera - Nawe

Audio

VIDEO | John Bera – Nawe

VIDEO | John Bera - Nawe

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo mzuri unaoitwa NAWE kutoka kwa John Bera.

Kunawakati niliteswa,
Wakati nilichekwa ,
Wakati nilisemwa nakukosa msadaa,
Kunawakati nilitengwa wakati nilibezwa,
wakati nilizama nilipokqwenda bila wewe,
Maana bwqnq ukiwa upande wangu,
hakuna jambo litakua nyuma yangu.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na John Bera kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 216 512
Facebook: John Bera
Instagram: @johnberatz
Youtube: John bera

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top