Connect with us

VIDEO | Happy Ngwando ft. Komando Wa Yesu – Namna Gani

Video

VIDEO | Happy Ngwando ft. Komando Wa Yesu – Namna Gani

VIDEO | Happy Ngwando ft. Komando Wa Yesu - Namna Gani

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwanadada Happy Ngwando na hii ni video mpya kabisa ya wimbo wake unaoitwa Namna Gani akiwa amemshirikisha Komando wa Yesu.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa kila wakati, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Happy Ngwando wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 745 776 496
Facebook: Happy Ngwando
Instagram: @happyngwando
Youtube: Happiness Ngwando

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,514 other subscribers

To Top