Connect with us

VIDEO | ALEXIS ZAWADI – PAMBANA NAO

Video

VIDEO | ALEXIS ZAWADI – PAMBANA NAO

VIDEO | ALEXIS ZAWADI - PAMBANA NAO

Habari Njema kutoka nchini Canada kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mtumishi wa Mungu Alexis Zawadi na hii ni video mpya ya wimbo wake unaoitwa PAMBANA NAO.

“Bwana atawapigania nanyi mtakaa kimya mbele zake.
Vita vyetu sio vya damu na nyama bali, kila nguvu za giza.
Mungu akubariki mtazamaji.” – Alexis Zawadi

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Alexis Zawadi wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (613) 400-8248
Facebook: Alexange Zawadi
Instagram: @alexis_zawadi
Facebook Page: Alexis R. Zawadi
Youtube: ALEXIS ZAWADI

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,514 other subscribers

To Top