Connect with us

VIDEO | Agnes Link – BABA NAKUSHUKURU

VIDEO | Agnes Link - BABA NAKUSHUKURU

Audio

VIDEO | Agnes Link – BABA NAKUSHUKURU

VIDEO | Agnes Link - BABA NAKUSHUKURU

Kutoka nchini Ujerumani kwa mara ya kwanza kabisa tunamtambulisha kwako Agnes Link na hii ni video ya wimbo wake wa shukrani unaoitwa BABA NAKUSHUKURU.

“LET US SAY TOGETHER HEARTLY “FATHER, I THANK YOU”
Just the breath of life we wake up with every morning is enough testimony for us to thank HIM.” – Agness

BABA NAKUSHUKURU ni wimbo unaobeba jina la albamu yake ya kwanza yenye mkusanyiko wa nyimbo nane katika mfumo wa Audio CD.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa nawe utamshukuru Mungu pamoja naye, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Agnes Link wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +49 1520 6542 334
Facebook: Agnes Kundy
Instagram: @kundyagnes63
Youtube: AgnesLink Channel

1 Comment

1 Comment

  1. Anonymous

    December 21, 2019 at 9:42 pm

    Watching from Germany, the song is so much blessing.bless you Agnes

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top