Connect with us

Nyimbo 10 Bora za Injili Zilizopendwa Zaidi Novemba 2019

10 Bora

Nyimbo 10 Bora za Injili Zilizopendwa Zaidi Novemba 2019

Nyimbo 10 Bora za Injili Zilizopendwa Zaidi Novemba 2019

Bwana Yesu asifiwe! Zikiwa zimebaki siku chache tumalize mwaka 2019 kwa mara nyingine tena tumekusogezea nyimbo kumi bora za Injili zilizopendwa zaidi mwezi Novemba 2019 Afrika Mashariki kupitia majukwaa mbalimbali mtandaoni ikiwemo YouTube na blogs mbalimbali bila kusahau gospomedia.com, Karibu!

1. Nadia Mukami – Maombi
2. Emmanuel Mgogo – Napenda Niwe Na Wewe
3. Joel Lwaga – Nafasi Nyingine
4. Guardian Angel – Nibariki
5. Walter Chilambo – God Of Mercy
6. Chris Mwahangila – Nasema Asante
7. Essence of Worship ft. Eliya Mwantondo – Wewe Ni Mungu
8. MojiShortbabaa – Dance ya kanisa
9. Mercy Masika ft. Edith Gor – Found In Grace
10. Atosha Kissava – Sina Stress

Ni imani yetu kuwa nyimbo zote hizi zitakubariki na kukuinua kila siku, Amen.

Kwa updates nyingi zaidi usiache kutembelea kurasa za mitandao yetu ya kijamii::
Facebook: GOSPO MEDIA
Instagram: @gospomedia
YouTube: Gospo Media

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,804 other subscribers

To Top