Connect with us

Gospo Media

Nyimbo 10 Bora za Injili Zilizopendwa Zaidi Disemba 2019

Nyimbo 10 Bora za Injili Zilizopendwa Zaidi Disemba 2019

Audio

Nyimbo 10 Bora za Injili Zilizopendwa Zaidi Disemba 2019

Nyimbo 10 Bora za Injili Zilizopendwa Zaidi Disemba 2019

Bwana Yesu asifiwe! Tukiwa tumebakiza saa chache tumalize mwaka 2019 leo tumekusogezea nyimbo kumi bora za Injili zilizopendwa zaidi mwezi Disemba 2019 katika anga la Afrika Mashariki kupitia majukwaa mbalimbali ya mtandaoni ikiwemo YouTube na blogs, Karibu!

1. Martha Mwaipaja – Maumivu Ya Jaribu
2. Eunice Njeri – Nani Kama Wewe (Live)
3. BAHATI – SAKATA
4. GOLD KRISTEN ❌ MR.SEED & NIMO – LOVI LOVI
5. Alice Kimanzi ft. Paul Clement – Yuko Mungu
6. DENNO – TAKE OVER
7. Jimmy Gait – Pokea Sifa
8. Eunice Njeri – Pokea Sifa
9. YESU ANA – WAHU & SIZE 8 REBORN
10. GUARDIAN ANGEL – TAWALA

Kwa updates nyingi zaidi usiache kutembelea kurasa za mitandao yetu ya kijamii::
Facebook: GOSPO MEDIA
Instagram: @gospomedia
YouTube: Gospo Media

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top