Audio
AUDIO | Purist Ogboi – Psalm 23
Kutoka nchini Uingereza mwimbaji wa kimataifa Purist Ogboi ameachia wimbo wake mzuri wa sifa unaoitwa Psalm 23 (I Will Continue To Follow You).
Psalm 23 ni wimbo wa saba kutoka kwenye albamu yake mpya inayoitwa Songs of Victory inayotarajiwa kuzinduliwa rasmi 2020 katika tamasha la pamoja na mume wake Evans Ogboi ambaye pia ni mwimbaji na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili jijini London.
Karibu kusikiliza huu wimbo na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.
Connect:
Facebook: Purist Ogboi
Instagram: @puristogboi
YouTube: Purist Ogboi
