Connect with us

AUDIO | MUZIKI WA YESU – Julius Fanta X Vedactus Maganga

AUDIO | MUZIKI WA YESU - Julius Fanta X Vedactus Maganga

Audio

AUDIO | MUZIKI WA YESU – Julius Fanta X Vedactus Maganga

AUDIO | MUZIKI WA YESU - Julius Fanta X Vedactus Maganga

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Julius Fanta ameachia sebene mpya ya wimbo unaoitwa MUZIKI WA YESU akiwa amemshirikisha Vedactus Maganga.

“Good Music Family tunamtukuza Mungu tumeona tufunge mwaka na wimbo huu wa MUZIKI WA YESU (sebene) ambao Bwana ameupaka mafuta ili kumgusa na kumbariki kila msikilizaji Ahsante.” – Fanta

Karibu kusikiliza muziki wa Yesu, Barikiwa!

Kwa mawasiliano zaidi na wasiliana na Julius Fanta kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 743 155 268
Facebook: Fanta Julius
Instagram: @fantajulius
Youtube: Julius Fanta

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top