Connect with us

AUDIO | MUNGU WA DANIELI – JENNIFER MGENDI

AUDIO | MUNGU WA DANIELI - JENNIFER MGENDI

Audio

AUDIO | MUNGU WA DANIELI – JENNIFER MGENDI

AUDIO | MUNGU WA DANIELI - JENNIFER MGENDI

Kutoka kwa mkongwe wa nyimbo za Injili Tanzania al maarufu Jennifer Mgendi kwa mara nyingine ameachia wimbo wake mpya unaoitwa MUNGU WA DANIELI.

“Mungu wa Danieli ni Mungu aliyeabudiwa na Danieli na Alithibitika kuwa na Matendo Makuu ya kuweza kuwaokoa watu wake na hatari mbalimbali kwa namna ya ajabu sana. Huyo ndiye Mungu tunayemwabudu anaweza kabisa kumsaidia kila amwendeaye Yeye.” – Jennifer Mgendi

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na tunaamini kuna jambo utajifunza na kubarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Jennifer Mgendi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 293 734
Facebook: Jennifer Mgendi
Instagram: @jennifermgendi
Youtube: Jennifer Mgendi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top