Connect with us

AUDIO | Lizbeth Sanga – Haleluya

AUDIO | Lizbeth Sanga - Haleluya

Audio

AUDIO | Lizbeth Sanga – Haleluya

AUDIO | Lizbeth Sanga - Haleluya

Kutoka jijini Mbeya Tanzania kwa mara nyingine tena tumeusogeza kwako wimbo mpya unaoitwa HALELUYA kutoka kwa mwanadada Lizbeth Sanga.

“Haleluya ni wimbo wa kuitambulisha mioyo yetu pamoja na ulimwengu wote kwa jinsi Mungu alivyo mkuu na kustahili sifa zetu kwake.” – alisema Lizbeth

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Eimen!

 

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Lizbet Sanga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 756 966 096
Facebook: Lizbet Sanga
Instagram: @lizbetsanga
Youtube: lizbeth Sanga

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top