Connect with us

AUDIO | Jenipher Sitta – I wanna Praise You

Audio

AUDIO | Jenipher Sitta – I wanna Praise You

AUDIO | Jenipher Sitta - I wanna Praise You

Habari nyingine njema kutoka kwa Jenipher Sitta ambaye ameachia wimbo wake mpya wa sifa unaoitwa I wanna Praise You.

Wimbo huu ni wa kusifu maneno yake yanaelezea shauku ya kumsifu Mungu wangu kwa vile anavyofanya kwenye maisha yetu.

Karibu kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa kipekee, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Jenipher Sitta wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 765 478 844
Facebook: Jenipher Sitta Daily
Instagram: @jennsitta
Youtube: Jenipher Sitta

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

AUDIO | Ziyase - Shalapo

Audio

AUDIO | Ziyase – Shalapo

By February 26, 2020

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,808 other subscribers

To Top