Connect with us

AUDIO | Andrew Robinson – ATENDAE

AUDIO | Andrew Robinson - ATENDAE

Audio

AUDIO | Andrew Robinson – ATENDAE

AUDIO | Andrew Robinson - ATENDAE

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa ATENDAE kutoka kwa mwimbaji Andrew Robinson.

“ATENDAE ni Mungu pekee, Yule Mungu wa elia ndio Mungu wetu bado anatenda zaidi, ni inspiration song kwa watumishi wote wa Mungu usichoke, zidi kungangana kwa BWANA na atakuinua kwa Mbawa kama yako Ubarikiwe sana.” – alisema Andrew Robinson

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Eimen!

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Andrew Robinson kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 765 377 611
Facebook: Andrew Robinson
Instagram: @andrewrobinson
YouTube: Andrew Robinson

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top