Connect with us

VIDEO | UMOJA – Hondwa | Prisca | Milton | Rodgers | Jesca | Enos | Moses | Esta

Video

VIDEO | UMOJA – Hondwa | Prisca | Milton | Rodgers | Jesca | Enos | Moses | Esta

VIDEO | UMOJA - Hondwa | Prisca | Milton | Rodgers | Jesca | Enos | Moses | Esta

Kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa UMOJA ulioimbwa na waimbaji nane kutoka nchini Tanzania.

“Hii ni nyimbo iliyo jumuisha waimbaji nane kutoka nchini Tanzania akiwemo HONDWA MATHIAS, PRISCA SANGA, RODGERS MATHEW, JESCA GAZUKO, ENOS LAZARO, MOSES SIMKOKO, MILTON MUGISHA na ESTHER ERASTO. Nyimbo hii imebeba ujumbe wa “UMOJA”. Tunatambua bila UMOJA mahali popote hakuna kitakachoweza kuwa imara, hivyo ni furaha yetu kuona ukiupokea ujumbe huu na ukupe hamasa ya kuwa balozi wa upendo kwani hakuna umoja utakaoweza kudumu kama hakuna upendo wa kweli.”

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi:
Simu/WhatsApp: +255 717 309 939
Youtube: Moses Simkoko

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top