Connect with us

Gospomedia

VIDEO | Sammy Rodin – It’s Gonna Be Ok

Music

VIDEO | Sammy Rodin – It’s Gonna Be Ok

VIDEO | Sammy Rodin - It's gonna be Ok

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania kwa mara nyingine tena tumekusogezea video mpya ya wimbo wa kuabudu unaoitwa It’s gonna be Ok kutoka kwa Pastor Sam (Sammy Rodin) akiwa na mke wake Pamsam pamoja na kundi la kusifu na kuabudu linalojulikana kama The NextlevelTz.

“I pray that this Song brings hope and healing to someone in Jesus Name!” – Sammy Rodin

It’s gonna be Ok ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye albamu iitwayo We Have Come To Praise You iliyozinduliwa miezi michache iliyopita na sasa ikipatikana kwenye maktaba zote za mitandaoni (online digital stores).

Karibu kutazama video ya wimbo huu na ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Pastor Sam kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 777 715
Facebook: Pamsam
Instagram: @pamsam_official
Youtube: Pamsam

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,534 other subscribers

To Top