Connect with us

VIDEO | Saimon Vedastus – Tuijenge Tanzania

Music

VIDEO | Saimon Vedastus – Tuijenge Tanzania

Saimon Vedastus - Tuijenge Tanzania

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa Tuijenge Tanzania kutoka kwa mtumishi wa Mungu Saimon Vedastus.

“Wimbo maalum kwa watanzania wote wenye nia njema na ya dhati wenye kuipenda na kuilinda nchi yao Tanzania kwa pamoja tunaweza tushikamane tuilinde na kuitunza nchi yetu , Asante kwa watanzania wote viongozi wa dini na viongozi wa serikali na watanzania wote bila kujali itikadi za dini siasa, kabila tuijenge Tanzania kwa pamoja tunaweza kuidumisha amani yetu Mungu wangu asante kwa amani yetu ya Tanzania Mungu bariki Tanzania Mungu bariki Afrika asante sana serikali ya Tanzania asante sana mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Asante Mungu kwa Tanzania yetu kuipa amani na kudumisha upendo na umoja wetu ” – Saimon Vedastus

Karibu kusikiliza huu wimbo na ni hakika utabarikiwa, Amen, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Saimon Vedastus kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 620 182 605
Facebook: Saimon Vedastus
Instagram: @official_saimonvedastus | Twitter: @official_saimonvedastus
Youtube: Saimon Vedastus

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top