Connect with us

Gospomedia

VIDEO | Richie Kisukuli ft. Odesia Shusho – NENA BWANA

Video

VIDEO | Richie Kisukuli ft. Odesia Shusho – NENA BWANA

Richie Kisukuli ft. Odesia Shusho - NENA BWANA

Kwa mara nyingine tena kutoka Tanzania leo tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri unaoitwa NENA BWANA kutoka kwa mwimbaji Richie Kisukuli akiwa amemshirikisha mwanadada Odesia Shusho.

“Ni ombi langu kwa MUNGU; (world wide) Utazamapo wimbo huu, Muujiza ukatendeke katika maisha yako,, na Damu ya Yesu inenayo Mema ikanene juu ya maisha yako. Popote pale ambapo hapako sawa, Yesu Kristo akanene neno . NENA BWANA, AMEN.” – Richie Kisukuli alisema

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen!

Kwa mawasiliano zaidi:
Simu/WhatsApp: +255 746 468 922
Instagram: @richiekisukuli
Youtube: Richie Kisukuli

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top