Connect with us

GOSPO MEDIA

VIDEO | Pius Magesa – Yatapita

Music

VIDEO | Pius Magesa – Yatapita

VIDEO | Pius Magesa - Yatapita

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Pius Magesa na hii ni video yake mpya ya wimbo unaoitwa YATAPITA.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Pius Magesa wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 656 698 835
Facebook: Pius Magesa
Instagram: @piusmagesa
Youtube: PIUS MAGESA Official

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,539 other subscribers

To Top