Connect with us

VIDEO | Nisaidie – Fred Msungu ft. Friends

Video

VIDEO | Nisaidie – Fred Msungu ft. Friends

VIDEO | Nisaidie - Fred Msungu ft. Friends

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo unaoitwa Nisaidie kutokakwa mtumishi Fred Msungu.

“NISAIDIE ni wimbo ambao unalenga kumtia moyo mtu ambaye amekata tamaa, amekataliwa, kuumizwa na kukosa msaada. Pamoja na hayo yote bado unaweza kumwamini Mungu akakuinua tena, kuondoa maumivu yako na kukupa sababu ya kuishi kwa ushindi tena. Haijalishi unapitia wakati mgumu kiasi gani omba maombi haya rahisi pamoja na mimi mwambie Mungu “NISAIDIE” – Pastor Fred Msungu alisema

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Fred Msungu wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 653 318 117
Facebook: Fred Msungu
Instagram: @fred_msungu
Twitter: @daudimwanisenga
Youtube: Fred Msungu

1 Comment

1 Comment

  1. Veronicah

    November 8, 2019 at 2:54 pm

    God bless you and keep on using you in that way of friendship….. that work of his that you’ve done is sooooo great,marvellous and gorgeous

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top