Connect with us

VIDEO | Lugano Edom – Usieshindwa

Video

VIDEO | Lugano Edom – Usieshindwa

VIDEO | Lugano Edom - Usieshindwa

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena leo tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo mzuri unaoitwa Usieshindwa kutoka kwa mtumishi wa Mungu Lugano Edom.

“USIESHINDWA ni wimbo wa kumsifu MUNGU ALIYE HAI JINA LAKE LIMETUKUKA MATENDO YAKE NI YA AJABU NINI KINAWEZA KUTUTENGA NA YEYE HAKUNA MUNGU KAMA WEWE HAKUNA MILELE #USIYESHINDWA” – Lugano Edom

Karibu kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Lugano Edom wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 758 706 372
Facebook: Lugano Edom
Instagram: @luganoedom_
Youtube: LuganoEdom GospelMinister

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,514 other subscribers

To Top