Connect with us

Gospomedia

VIDEO | Juvenalister Mabumba – Kamanda wa Vita

Video

VIDEO | Juvenalister Mabumba – Kamanda wa Vita

Juvenalister Mabumba - Kamanda wa Vita

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Juvenalister Mabumba na hii ni video ya wimbo wake mpya unaoitwa Kamanda wa Vita ukiwa katika mahadhi ya mziki wa mwambao(Taarabu).

Karibu kutazama video hii njema amini utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi:
Simu/WhatsApp: +255 762 715 560
Facebook: Juvenalister Sylvester
Instagram: @juvenalister
Youtube: JUVE MABUMBA

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top