Connect with us

Gospomedia

VIDEO | Joel Lwaga – Nafasi Nyingine

Video

VIDEO | Joel Lwaga – Nafasi Nyingine

VIDEO | Joel Lwaga - Nafasi Nyingine

Mkali wa nyimbo za Injili Afrika Mashariki al maarufu Joel Lwaga kwa mara nyingine tena ameachia video mpya ya wimbo wake mzuri unaoitwa Nafasi Nyingine.

“Nafasi Nyingine is a great Gospel and Inspirational Song that means “Another Chance”. – Joel Lwaga

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Joel Lwaga wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 747 597
Facebook: Joel Lwaga
Instagram: @joellwaga_official
Youtube: JoelLwagaOnline

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top