Connect with us

Gospomedia

VIDEO | Esteria Paul – SHUKRANI

Video

VIDEO | Esteria Paul – SHUKRANI

VIDEO | Esteria Paul - SHUKRANI

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa kuabudu unaoitwa SHUKRANI kutoka kwa Esteria Paul.

Zaburi 52:9 Nitakushukuru milele kwa maana umetenda; Nitalingojea jina lako kwa kuwa ni jema; Mbele ya wacha Mungu wako.

Karibu kutazama video ya wimbo huu na ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Connect with Esteria Paul:
WhatsApp: +255 785 873 450
Facebook: Esteria Paul
Instagram: @esteriapaulofficial
Youtube: Esteria Paul

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top