Connect with us

GOSPO MEDIA

VIDEO | Emmanuel Mgogo – Napenda Niwe Na Wewe

Music

VIDEO | Emmanuel Mgogo – Napenda Niwe Na Wewe

Emmanuel Mgogo - Napenda Niwe Na Wewe

Baada ya kimya cha muda mkongwe wa nyimbo za Injili Tanzania al maarufu Emmanuel Mgogo ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa NAPENDA NIWE NA WEWE.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Emmanuel Mgogo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 769 505 537
Facebook: Emmanuel Mgogo
Instagram: @emmanuelmgogo
YouTube: Emmanuel Mgogo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,539 other subscribers

To Top