Connect with us

Gospomedia

VIDEO | BLESSING SINGERS FT WALTER CHILAMBO – BILA SABABU

Video

VIDEO | BLESSING SINGERS FT WALTER CHILAMBO – BILA SABABU

VIDEO | BLESSING SINGERS FT WALTER CHILAMBO - BILA SABABU

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo unaoitwa BILA SABABU kutoka kwa kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili linalofahamika kama BLESSING SINGERS wakiwa wameshirikisha mkali wa sauti Walter Chilambo.

“BILA SABABU ni wimbo unaoelezea Upendo wa Mungu ulivyo wa tofauti na upendo wa kibinadam.”

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Kundi la Blessing Singers wasiliana nao kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 746 246 406 au +255 769 272 576
Facebook: Blessing Singers
Instagram: @blessing_singers
Youtube: Blessing Singers

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top