Video
VIDEO | Aubrey Mumba – Ni Mwanaume
Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Aubrey Mumba na hii ni video ya wimbo wake mzuri unaoitwa Ni Mwanaume.
“Hakuna kiumbe au binadamu ambaye ni zaidi ya YESU kristo yeye ni zaidi ya viumbe vyote ndio maana tunamuita Mfalme wa wafalme.” – Aubrey Mumba
Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen!
Kwa mawasiliano zaidi na Aubrey Mumba wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 920 264
Facebook: Aubrey Mumba
Instagram: @aubreymumba
Youtube: Aubrey Mumba
