Connect with us

Gospomedia

VIDEO | Anna Maboya – The Battle Is Not Yours

Music

VIDEO | Anna Maboya – The Battle Is Not Yours

VIDEO | Anna Maboya - The Battle Is Not Yours

Kwa mara nyingine tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo unaoitwa The Battle Is Not Yours kutoka kwa Anna Maboya.

“Muda Mwingi Umekuwa Ukipambana Kwa Nguvu Zako Katika Mapito Na Magumu Unayopitia.Napenda Nikutie Moyo Inuka Simama Tena Kwa Sababu Vita Sio Vyako. Mwambie Yesu Aonekane Katika Hilo Jaribu, Vita Ni Vya Bwaana Jipange Sawa Sawa Utauona Wokovu Wa Bwana Leo. Hayo Mateso,Hizo Shida,Hivyo Vifungo Na Magonjwa Unayo Yaona Leo Hautayaona Tena.Yupo Mungu Anaesikia Na Kujibu Kwa Moto Songa Mbele Usifie Jangwani. Bwana Atakupigania Na Wewe Utanyamaza Kimya, THE BATTLE IS NOT YOURS.” – Anna Maboya

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa siku zote, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana Anna Maboya kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 658 266 786
Facebook: Anna Maboya
Instagram: @annamaboya
Youtube: Anna Maboya

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,537 other subscribers

To Top