Connect with us

Gospomedia

AUDIO | Richie Kisukuli ft. Odesia Shusho – NENA BWANA

Music

AUDIO | Richie Kisukuli ft. Odesia Shusho – NENA BWANA

Richie Kisukuli ft. Odesia Shusho - NENA BWANA

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa NENA BWANA kutoka kwa Richie Kisukuli akiwa amemshirikisha mwanadada Odesia Shusho.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri, Barikiwa!

Kwa mawasiliano zaidi:
Simu/WhatsApp: +255 746 468 922
Instagram: @richiekisukuli
Youtube: Richie Kisukuli

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,537 other subscribers

To Top