Connect with us

Gospomedia

AUDIO | NGUVU YA JARIBU – Baraka Issah

Music

AUDIO | NGUVU YA JARIBU – Baraka Issah

AUDIO | NGUVU YA JARIBU - Baraka Issah

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Baraka Issah na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa NGUVU YA JARIBU.

“Kama ilivyo katika elimu ya Dunia, waalimu hutoa mitihani ili kujua uwezo wa wanafunzi wao na kuwasaidia wavuke katika madarasa na vidato vinavyofuata ndivyo Mungu hutujaribu ili Kutupeleka katika viwango vya juu mithili ya TAI
🌹 JARIBU ndio mtihani wetu ambapo katika huo tunatiwa Nguvu, Naomba sikiliza huu wimbo na nina imani utakupeleka katika viwango vya juu kiroho.” – Baraka alisema

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na ni hakika kuwa utakubariki na kukuinua, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Baraka Issah wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 746 042 797
Facebook: Baraka Issah
Instagram: @official_issah
Youtube: Baraka Issah

2 Comments

2 Comments

  1. Anonymous

    November 5, 2019 at 9:39 am

    nice you song

  2. Anonymous

    July 3, 2020 at 4:38 pm

    Thank you, be blessed

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,537 other subscribers

To Top