Connect with us

Gospomedia

AUDIO | Moji Shortbabaa – Nyama Choma

Music

AUDIO | Moji Shortbabaa – Nyama Choma

AUDIO | Moji Shortbabaa - Nyama Choma

Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutok nchini kenya Moji ShortBabaa kwa mara nyingine ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Nyama Choma.

Nyama Choma ni moja kati ya nyimbo zinaotengeneza albamu yake mpya YESU MTAANI ambayo tayari ameshaiachia.

Karibu kusikiliza wimbo huu, Amen.

Connect:
Facebook: Moji Shortbabaa
Instagram: @mojishortbabaa
Youtube: Moji Shortbabaa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,537 other subscribers

To Top