Connect with us

AUDIO | Moji Shortbabaa – Banange ft. Levixone

Music

AUDIO | Moji Shortbabaa – Banange ft. Levixone

AUDIO | Moji Shortbabaa - Banange ft. Levixone

Moji ShortBabaa kutoka nchini kenya kwa mara nyingine ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Banange akiwa amemshirikisha Levixone kutoka Uganda.

Banange ni moja kati ya nyimbo zinaotengeneza albamu yake mpya YESU MTAANI ambayo tayari ameshaiachia.

Karibu kusikiliza wimbo huu, Amen.

Connect:
Facebook: Moji Shortbabaa
Instagram: @mojishortbabaa
Youtube: Moji Shortbabaa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,645 other subscribers

To Top