Connect with us

Gospomedia

AUDIO | Milton Mugisha – Umewapita

Audio

AUDIO | Milton Mugisha – Umewapita

Milton Mugisha - Umewapita

Kutoka Tanzania leo tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa UMEWAPITA kutoka kwa mwimbaji Milton Mugisha.

“UMEWAPITA ni wimbo ambao niliamua kuandika kwa ajili ya mke wangu lakini pia wimbo huu ni maalumu kwa ajili ya wanandoa wote, Amen!” – alisema Milton

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen!

Kwa mawasiliano zaidi na Milton Mugisha wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 715 443 745
Facebook: Milton Mugisha
Instagram: @miltonmugisha
Youtube: Milton Mugisha

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,503 other subscribers

To Top