Connect with us

AUDIO | Manase Mwakipesile – Yupo Mungu ft. ChristaBella

Music

AUDIO | Manase Mwakipesile – Yupo Mungu ft. ChristaBella

AUDIO | Manase Mwakipesile - Yupo Mungu ft. ChristaBella

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Manase Mwakipesile na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa YUPO MUNGU akiwa amemshirikisha ChristaBella.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukuinua kila siku, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Manase Mwakipesile wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 769 115 328
Instagram: @manase_tz
Youtube: Manase MJ

1 Comment

1 Comment

  1. MOSES EUSEBIUS LUANDA

    November 25, 2019 at 9:27 am

    Amina, YESU ndiye tumaini langu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,514 other subscribers

To Top