Connect with us

GOSPO MEDIA

AUDIO | John Beta – Bwana Nenda Nami

Music

AUDIO | John Beta – Bwana Nenda Nami

John Beta - Bwana Nenda Nami

Kutoka mjini Tunduma Tanzania kwa mara nyingine tena tunamtambulisha kwako mwimbaji John Beta na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Nenda Nami.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na John Beta wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 252 712
Facebook: John Beta
Instagram: @johnbeta_official
Youtube: JOHN BETA TZ

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,539 other subscribers

To Top